Ndani ya siku 10, Mdundo wa AKA na Diamond Platinumz ‘Make me sing’ umefikisha views hawa kwenye youTube…

Hit single ya wakali , AKA na
Diamond Platinumz
‘Make me sing‘ inazidi kuchukua headline kwenye
Tv station na Radio barani Afrika, leo ikiwa ni Feb 25 imetengeneza views
milioni 1 kupitia mtandao wa youtube ndani ya siku 10.
views milioni 1 kupitia mtandao
wa youtube ndani ya siku 10.
Mdundo huu aliofanya na Diamond Platinumz ‘Make me sing‘ unamfanya AKA kuwa msanii wa kwanza Afrika kusini kufikia rekodi hii kwa kipindi
kifupi. hizi ndio baadhi ya kolabo alizowahi kufanya AKA zenye watazamaji wengi kupitia mtandao wa
youtube
AKA – All Eyes on Me ft Burna
Boy, Da L.E.S. and JR: 1,391,325 views
AKA ft K.O – Run Jozi (Godly):
1,065,372 views
Emtee – Roll Up (ReUp) Ft
WIZKID & AKA (Official Remix): 915,428 views
AKA – Baddest ft. Burna Boy,
Khuli Chana, Yanga: 820,522 views
Anatii – The Saga (Explicit
Version) ft. AKA: 430,155 views
Chanzo:Millard ayo
No comments: