Jibu la Diamond Kwa Wanaosema Ame Copy Video ya ‘Make Me Sing’ Kwa Lil Wayne.

Msanii Diamond ameamua kuwatolea uvivu watu
wanaosema kuwa video
yake mpya ya wimbo wa make me singalioshirikiana na rapper A.K.A kutoka Afrika kusini ameiga video ya Got money ya Lil wayne.
Aidha Diamond amethibitisha ule usemi wa hakuna jipya chini ya jua kwa kusema kuwa hakuna mtu yeyote atayefanya kitu kwenye muziki ambacho hakijafanyika.
“Watu wanashindwa
kuelewa,kila kitu ambacho kinafanyika sasa hivi kwenye muziki kuanzia
video,mashairi vyote vilishafanyika,vyote vilishaimbwa ,ni kama vinafanyika kwa
marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye,kwa sababu
ukisema nakupenda watu washaimba,sikupendi washaimba vyote yaani” alifunguka
Diamond.
No comments: