Mfuko wa Habari Tanzania (TMF ) Wasema Uko Tayari Kutoa Msaada wa Fedha Ili Kuiwezesha TBC Kutangaza LIVE Mwenendo wa Bunge
Mkurugenzi Mtendaji wa
mfuko wa Habari Tanzania
(TMF) Ernest Sungura amesema taasisi yake
iko tayari kugharamia matangazo ya live Bungeni kupitia TBC
ili kuwawezesha wananchi kujua kinachoendelea Bungeni.Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari nchini mbele ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari( MAELEZO), Assah Mwambene, Sungura amesema lengo la TMF ni kuleta mabadiliko chanya katika tasnia ya habari na kuona wananchi wanapata taarifa kwa wakati.
No comments: