Dk. Mwaka, amesema huduma za kituo hicho zinaendelea kama kawaida


 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Tiba asili cha Fore Plan, Tabibu Juma Mwaka, amesema huduma za kituo hicho zinaendelea
kama kawaida na kwamba serikali haijazifunga kama baadhi ya watu wanavyodhani  
Tabibu Mwaka amesema vipindi vya kuelimisha umma ndio vimesimamishwa na serikali lakini matangazo ambayo yaliidhinishwa na baraza la Tiba asili bado yanayendelea kwenye baadhi ya vyombo vya habari

No comments:

Powered by Blogger.