Ukaribu wa Mkurugenzi wa Twaweza Aidani Eyakuze na January Makamba wa CCM Wazidi Kutia Doa Utafiti Uliotolewa na Taasisi Hiyo

Aidani Eyakuze ni Mkurugenzi mkuu wa Tweweza east africa,
namfahamu sana kijana huyu aliechukua nafasi ya Rakesh pale Twaweza. Eyakuze ni rafiki mno tena wa karibu sana na January Makamba, na katika ile proposal concept ya Makamba pale Mlimana city ya kutanganza nia pale mlimani Eyakuze ndie aliekuwa consultant mkuu wa ile proposal ambayo leo kwa kiasi kikubwa imekuwa adapted na Mgombea wa CCM Magufuli na makamba kuwa karibu kuhakikisha inatekelezeka mfano kuipa kila kijiji sh milioni 50.

BADO naconect urafiki wa Eyakuze na Makamba katika takwimu alizozitoa Juzi ktk media january na leo za twaweza....ni km watu wanalala na kuamka pamoja.

Kwa thread hii, Aidani Eyakuze ameidhalilisha taasisi kubwa kama Twaweza kwa kununuliwa na ccm kupitia January na kupika tafiti zenye kuifurahisha ccm...hii ni hatari sana kwa taaluma ya Aidan Eyakuze ambaye Taasis yake inaeshimika kwa tafiiti zenye kulenga kuboresha mambo mbali mbali kwa serikali kwa watu wake. mfano mmoja ni Elimu kwa kupitia mradi wake wa UWEZO Tanzania inafanya tafiti na kuipa mrejesho serikali kwa chanamoto mbali mbali za ukweli toka kote nchini na serikali kupitia wizara ya elimu na TAMISEMI mara nyingi imeonyesha mabadiliko na kufanya utekelezaji kwa baadhi ya maeneo hayo Muhmu. sasa My take ....kama ccm inakununua Aidan..hivi chama hiki kikiwa madarakani kiendelee kuamnini na kufanyia kazi tafiti zako zijazo?? na hasa sasa nasikia mtaongeza evaluation katika afya na mazingira?

Aidani..sio masikin wa hela kwa elimu na nafasi yake pale twaweza...uswahiba wake tena wa siku nyingi na January anaamua kupindisha taaluma yake na taasis yake kutoa matokeo ya kufurahisha ccm hii aitosh kuzuia maamumuzi ya wananchi wanaotaka mabadiliko ambayo UWeZO Tanzania imevumbua madudu mengi tu uko chini katika tafit zake za elimu kwa miaka 5 mfululizo.Aidan wanishangaza sana.
IMAGE ya Twaweza na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa sana kwa upenzi huu binafsi wa Aidan Eyakuze na January Makamba.

Hivi dhambi hii kwa CCM, January na Aidan mtaungamia wapi ili hali nafsi zenu zinajua mnafanya hujuma ya makusudi.....shame on YOU Aidan na Shame on Makamba.

Mungu akupe uhai mrefu Mr Rakesh, ata kama Mkapa alikuwa rafiki yako sana ulimkosoa sana na kumpa fact wakat wa "HAKI ELIMU" hadi ulipooingia TWAWEZA hukusita kufanya hivyo kwa Kikwete na mengi tumeyaoona yanabadilika.....lakini kwa aliechukua Kijiti chako AIdan eyakuze huku sio tena ameendeleza ameamua kufanya Twaweza na UWEZO kuwa taasisi Ndogo za CCM.Shame na kwa washauri wake Uganda, Tanzania, na Kenya..
Source: Jamii Forums

No comments:

Powered by Blogger.