Top 10 ya wanasoka wanalipwa mkwanja mrefu kwa mwaka 2015
Kwa wewe mpenzi wa mpira wa miguu utakuwa na mchezaji mpira ambaye unampenda
kuliko wengine, Inawezekana akawa ni mmoja wapo kwenye hii list au hayupo. Sio kwamba hapewi mkwanja mrefu, ni kwamba hayupo tu kwenye hii Top 10 ya wanasoka wanao pewa mkwanja mrefu.
Kwa mujibu wa tovuti ya SportyOlogy hawa wanakula mkwanja mrefu.
10. Luis Suarez – $19.9 million
09. Sergio Aguero – $25.3
08. James Rodriguez – $25.4 million
07. Wayne Rooney – $25.8 million
06. Radamel Falcao – $31 million
05. Neymar Jr. $31.7 million
04. Gareth Bale – $34.9 million
03. Zlatan Ibrahimovic – $41.8
02. Lionel Messi – $70.5 million
01. Cristiano Ronaldo – $79 million
Hiyo ni Top 10 list ya wana soka ulimwenguni wanao chukua mkwanja mrefu, Unamoni gani kuhusiana na Top 10 hii? Niachie comment yako
No comments: