MUFTI MKUU WA TANZANIA, SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA

Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali.
Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam

No comments:

Powered by Blogger.