New Video: Chege & Temba ft Emmy Wimbo – Go Down
Chege na Temba kutoka TMK Wanaume Family baada ya ukimya wa muda mrefu wamerudi upya kwenye game na video ya wimbo wao mpya, Go Down wakiwa amemshirikisha Emmy Wimbo. Video imeondozwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio
No comments: