BREAKING NEWS: NI ZAIDI YA MASIKITIKO MAKUBWA HALIMA MDEE NDIO BASI TENA SASA NDANI KITANZI KIZITO.
Kampuni ya Simon Group inayomiliki mabasi ya UDA na mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ubia na Serikali imekanusha vikali madai ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kuwa kuwa kampuni hiyo iliuzwa kwake kinyemela.
Akichangia hoja hivi karibuni bungeni Dodoma, Mdee alisema kampuni ya UDA haikuuzwa kihalali kwa Simon Group Ltd, Waziri husika hakuridhia kihalali uamuzi wa Baraza la jiji, UDART iliuzwa kinyemela na SGL ilotumia rasilimali za UDA kupata mkopo wa kuendesha Udart.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Msemaji wa SGL, Deus Bugaywa alisema madai hayo siyo ya kweli.
No comments: