ALICHOKIFA WOLPER KWA HARMONIZE JANA....!!! THUBUTU MWANAMKE MWINGINE HAWEZI
Jana October 3 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa Bongo Fleva aliye chini ya lebo ya WCB Harmonize.
Mastaa wengi wali-muwish mkali huyo katika kurasa zao za mitandao ya kijamii lakini ilikuwa tofauti kwa mpenzi wake Jacqueline Wolper ambaye hakuona haja ya kupost picha na akaamua kuuonyeshea umma ni jinsi gani amejiandaa kumpokea mpenzi wake huyo katika siku yake hiyo muhimu ya kuzaliwa.
Sitaki kukunyima uhondo, nataka ushuhudie mwenyewe, ni vipi Wolper aliremba chumba chake tayari kabisa kwa kumpokea Harmonize.
No comments: