RAIS MAGUFULI ATOA MPYA ATAKA WATU WAZAE KWA KWENDA MBELE

August 12 2016 Rais wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli alikutana na wakazi wa Dar es salaam na kuzungumza nao kuhusu maendeleo ya nchi lakini hakuacha kukumbushia lengo lake kuu la kuruhusu elimu bure kwa kila mwanafunzi wa Tanzania kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari. 

Rais Magufuli amesema… 

’Ndugu zangu msiwe na hofu kuhusu kuwa na watoto, nyie fyatueni watoto wa kutosha maana watasoma bure‘


No comments:

Powered by Blogger.