HII NDIYO LIST YA MARAIS WA AFRIKA WANAOPENDA SANA WANAWAKE KUPITA KIASI,WATAZAME HAPA LIVE
Inasadikika kuwa mfalme Mswati hutumia zaidi ya yuro milioni 31.7 za Swazilandi kama bajeti yake ya mwaka mzima ya kulisha familia yake yenye watoto 24,wanawake 14 katika ikulu 13.Wake zake watatu wanenkimbia kwa sababu za kimapenzi na wivu.Katika mwaka 2012 wasichana mabikira 80,000 waliaokuwa matiti nje walicheza kwa ajili ya mfalme Mswati,kwa ajili ya kujifurahisha na hatimaye kuchagua mke,na baadhi yao kulala nao tu nani ajuaye.Baba yake mfalme Sobhuza wapili alikuwa na wanawake 70.Mswati ni kiongozi mwenye ndugu wengi kuliko kiongozi yeyote yule duniani wako 96.Ni kongozi tajiri sana wa kifalme kuliko yeyote yule barani Afrika ingawa anatawala nchi ndogo tu.Mswati amepigiwa kura kuwa ndiye kiongozi anaye penda wanawake kuliko kiongozi yeyote yule barani Afrika.




No comments: