VIDEO: Trailer ya game mpya ya FIFA 17, muonekano wa Mourinho Man United


Kwa watu wangu wa nguvu ambao wanapenda game za Play Station maarufu kama PS, hii inawahusu game mpya ya FIFA 17
 ina maboresho kiasi kulinganisha na game iliyopita, lakini miongoni mwa mabadiliko yaliopo ni pamoja na Jose Mourinho kuonekana katika game hiyo akiwa kama kocha wa Man United.

No comments:

Powered by Blogger.