Video: MKWARA WA JERRY MURO KWA WANAOTAKA KUHARIBU UCHAGUZI WA YANGA

IMG_0038
Uchaguzi kwa ajili ya kupata viongozi wapya watakaoiongoza klabu hiyo kwa kipindi kingine
umezidi kutengeneza sura tofauti katika soka la Bongo baada ya kuibuka tetesi kwamba kuna baadhi ya wanachama wanataka kuvuruga uchaguzi huo.

Leo kulikuwa na mkutano wa waandishi wa habari na uongozi wa Yanga ambapo msemaji wa kalbu hiyo Jerry Muro ametoa karipio kwa wanachama hao.
Bofya hapa umuone Jerry Muro akitoa kalipio kali kwa wanachama wanaotaka kuvuruga uchaguzi wa Yanga.

No comments:

Powered by Blogger.