Shilole na Vanessa walivo kutana kwa mara ya kwanza baada ya Bifu Lao

1
  Shilole (kulia)  akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.

2
3
4
Shilole akifanya makamuzi
6
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.

WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.

No comments:

Powered by Blogger.