Mabibi na Mabwana Shetta kaachia video yake mpya,itazame hapa..


Mtu wangu utakuwa umeshaona kava zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali ambazo zinaashiria ujio wa video ya single
mpya ya Shetta iitwayo ‘Namjua’.
Sasa leo Mei 6, 2016 msanii huyo ameachia rasmi video hiyo mpya iliyotayarishwa na director Nic Roux  aliyehusika kwenye utengenezaji wa video kadhaa ikiwemo ya AKA ftDiamond Platnumz – Make me sing, Harmonize ft Diamond Platnumz – Bado na video ya kundi la Mavins ‘Dorobucci’.
Itazame hapa

No comments:

Powered by Blogger.