Kauli ya mwisho ya kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane kuhusu Cristiano Ronaldo kucheza au kutocheza UEFA.


Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema Cristiano Ronaldo
ameruhusiwa na madaktari kucheza mechi ya kesho katika duru ya pili ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Manchester City. "Yuko 100%," amesema Zidane, ambaye pia amesema Karim Benzima na kiungo mkabaji Casemiro hawatokuwepo.

No comments:

Powered by Blogger.