Hoja ya kumuondoa naibu spika yatua bungeni rasmi

 



Wabunge wa Upinzani Bungeni wameamua kutoa Hoja ya kutokuwa na Imani na Naibu Spika kwa mujibu wa kanuni ya 138(1) ya Kanuni za Bunge na Ibara ya 85(4)(c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Zitto Kabwe

Jioni hii: 
Wabunge wote wa Upinzani wameamuriwa kutoka nje ya Bunge kwa sababu za kuhoji suala la wanafunzi wa UDOM kufukuzwa chuoni kinyama.
Bunge: Deputy Speaker, Dr Tulia Akson has thrown out of Parliament opposition MPs who were adamant that the government table a statement on the exclusion of over 700 University of Dodoma students. The MPs had just resumed for the evening session at 4pm. The opposition camp MPs are now holding a meeting to deliberate on the way forward following their expulsion from Parliament

No comments:

Powered by Blogger.