WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFIKA NYUMBANI KWA FREEMAN MBOWE.




Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa CHADEMA
na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Mbowe, nyumbani kwa marehemu,Tegeta jana







No comments:

Powered by Blogger.