Waigizaji Wawili wa Series ya Empire Wafunga Ndoa
Waigizaji na mastaa wa tamthilia ya Empire, Grace Gealey ’31’ na mpenzi wake wa muda mrefu
Trai Byers ’32’ wamefunga ndoa kwenye sherehe Alhamis hii, Gealey na Byers walichumbiana mwaka jana baad aya kukutana kwenye show ya Empire.
Mastaa na Wageni 50 tu walialikwa kwenye harusi hiyo kwa mujibu wa mitandao ua udaku nchini marekani.

No comments: