VideoMPYA: Rayvanny anatualika kuitazama video yake mpya ‘Kwetu’


Rayvanny ni msanii mwingine kutoka WCB lebo iliyoanzishwa na Diamond Platnumz
 ambapo baada ya single yake ‘kwetu’ kulia sana kwenye Radio, ni zamu ya kuiona video yake ambayo imefanywa na director Godfather



No comments:

Powered by Blogger.