Rais Magufuli Azindua Ujenzi wa Barabara ya Juu 'Fly Over' Makutano ya Tazara


Rais Magufuli leo ameweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa barabara ya juu katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela.


Ujenzi wa mradi huu utagharimu jumla ya bilioni 100.

No comments:

Powered by Blogger.