Baada ya Magufuli Kushindwa...........Atimaye Mange Kimambi Atumbua Jipu Ridhiwan Kikwete kuhusu msaada wa vitabu jimboni Chalinze
Yule mwanadada machachali katika mitandao. Leo amepost picha ya Ridhiwan akigawa vitabu na kudai kuwa amenunua kwa thamani ya Tsh Mil 70 na kumbe ni vitabu vilivyotolewa kwa msaada wa ubalozi wa Marekani.
Dada huyo ambaye amekuwa hajui kupaka rangi wala kuremba maneno. Dada huyo anasema kuwa mbunge huyo bwana ridhiwan ni jipu lililoiva kabisa.
Dada huyu ambaye haijulikan anapata wapi taarifa na anajiamini nini ameandika maneno hayo ya kumlipua bwana Ridhiwan ambaye pia ni mbunge wa Chalizne.
Katika picha hiyo anaonekana Ridhiwan akigawa vitabu ambavyo kuna maelezo tofauti kuhusu upatikanaji wake. Kutoka kwa Ridhiwan na dada huyu Mange. Suala la Ridhiwan na uhusiano wake na watu matajiri wenye kashfa za kuhujumu uchumi wa nchi na utajiri wake usiosemekana chanzo chake.
Dr. Magufuli amekuwa akiombwa na wananchi hawa maskini kuanza kuwamulika watu wa aina hiyo ambao wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuifilisi nchi hii na kujilimbikizia mali.
Kupitia Page yake ya Intagram Mange Ameandika Ujumbe huu

mangekimambi_Mbunge wa Chalinze ni Jipu aiseeee..Hivi Magu ana authority ya kuwatumbua wabunge??I think hana eeeh?? ..Yani Ridhwani Kikwete ni jipu lililoivaaaaaa mpaka limeanza kutumbuka lenyewe. ...Huyu jamaaa muongo balaaaa, Eti katoa msaada wa vitabu 3,438 vyenye thamani ya milioni 70 kwenye Jimbo lake, wizi mtupu. Tusiompenda kwa jinsi alivyotafuna nchi kipindi cha babake tumefatilia source ya hivi vitabu, issue iko Hivi...Hivi vitabu vilitolewa msaada na watu wa marekani kupitia NGO inaitwa KULEA iko huko Chalinze... Kwanza vitabu vyenyewe vimepigwa muhuri wa 'DISCARDED' and that's because siku hizi wamarekani hawatoi msaada wa hard copy books, vitabu vinakuja kama E-books. Hivyo vitabu Ni vile vilivyokuwa vimebaki stoo wakati wanahamia kwenye system ya E-Books. Ndo huyu jamaa kujipa ujiko usiomuhusu eti katumia milioni 70, wakati vitabu vimetoka marekani vimelipiwa mpaka usafiri na watu wa Marekani Leo yeye anajitapa katoa msaada! 😏..Simpendiiiii Ridhwani Kikwete na mwenzie January Makamba toka that time walivyokuwa wanaipigia Kampeni shut up law, walikuwa wanapiga kelele huko Twitter 24/7 kutudanganya uzuri wa hiyo Sheria na wakati watu tunaakili zetu timamu tulijua walikuwa na madhumuni gani na hiyo sheria. Yani mimi naamini ile Sheria ya mitandao hakusign JK aliisign Ridhwani 😂🙆🏽, haki ya nani vile. JK miaka yake yote ya Urais na uzembe wake wooooote kwenye utendaji hakuwahi kugusa mambo ya freedom of speech wala kujaribu ku sensor media. Yani JK aliacha media ikawa free mpaka ufree ukapitiliza 😂😂.Then dakika za mwisho za urais wake aka sign such a controversial law! mwanae Ridhwani na January ndo walikuwa viherehere kuipigia domo hii sheria kwenye social media, tena Ridhwani alikuwa confident hiyo law itapita. Ila watu kwa vile tulimjua JK sio mtu wa kusensor media hatukuwa na wasiwasi kivilee tukajua JK hatosign, hee mara imesainiwa. Mi nawaambia ile sheria alii sign Ridhwani haki ya nani 🙈 na Kama hakuisign yeye basi alimdanganya dingi yake! ..Mimi huyu jamaa nikiendelea kumuona kwenye nafasi ya uongozi nachukia sana. Aiseee hakuna fisadi alie imaliza nchi Kama Ridhwani na familia yao. Seriously. Huyu kidoti wa kiume ni jipuuu!
No comments: