Wiz Khalifa Kamsahau Amber Rose na Sasa Yupo na Huyu Mtoto Mkali.....


Baada ya kuachana na super model Amber Rose rapa Wiz Khalifa amekuwa akitajwa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti ila hakuna aliyewahi kuthibitishwa na Wiz Mwenyewe.

Mtandao wa OK umeripoti kuwa kwa sasa Wiz Khalifa amengoa kifaa kipya ambacho ni Ex wa pop staa Justin Bieber anayefahamika kama Selena Gomez.

Kama ni kweli basi wanasema Selena anachezea moto sababu atapata drama kutoka kwa Amber Rose na Wiz Khalifa sio mwanaume wa kuwa naye kama unataka kuwa na maadili flani amazing kwa watu wako kutokana na tabia yake ya starehe na bangi muda wote.

Kwa sasa Amber Rose anamahusiano na Terrence Ross.

No comments:

Powered by Blogger.