Tuhuma za Rushwa: Zitto Kabwe ,Hussein Bashe Baada ya Wajumbe wake Kutuhumiwa Kwa Rushwa
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.
Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.
Kutokana na shtuma hizo ameamua kuungana na Zitto Kabwe kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
No comments: