vijimambo kuelekea pambano la Simba na Yanga
wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo
kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20
katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam,
mchezo ambao unazikutanisha timu zote zenye nafasi ya kutwa Ubimgwa wa Ligi
Kuu, huu ni mchezo wa marudiano na kisasi kwa Simba,
au Yangawaendeleze ubabe baada ya mchezo wa
awali Simba kukubali kufungwa
kwa jumla ya goli 2-0.
Kwa sasa Simba wapo nafasi ya kwanza wanaongoza
msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na jumla ya point 45 katika mechi zao 19
walizocheza, lakini Yanga wapo
nafasi ya pili wakiwa na point 43 katika michezo yao 18 waliocheza wakiwa na
kiporo cha mchezo mmoja. Huo ni mchezo wenye utani, presha kwa mashabiki na
kejeli za hapa na pale. Mtu wangu wa nguvu tukiwa tunaelekea mchezo huo, enjoy
kwa vibonzo 9 ambavyohutumiwa na mashabiki wa Simba na Yanga kutania
mitandaoni baada ya mchezo kumalizika na mmoja kati ya timu hizo akiwa kaibuka
mshindi.
No comments: