VideoMPYA: Mirror na Baraka Da Prince wametuletea leo video yao mpya “Naogopa
Mtu wangu wa nguvu list ya video kali kwa mwaka 2016
inazidi kuongeze kila kukicha kwa wasanii
kutoka katika kiwanda cha Bongo Fleva kuamua
kutengeneza video kali za hit single zao ambazo zimekuwa zikifanya vizuri
katika radio station, time hii ni wakati wa kuenjoy dakika tatu na sekunde 25
za video ya msanii kutoka kampuni ya Endless FameMirror Ft Baraka Da Prince inaitwa “Naogopa”
No comments: