Video ya Ay Ft Diamond Platnumz ‘Zigo’ yafungiwa,maelezo yako hapa.
Katika
kufuatilia maudhui ya vyombo
vya utangazaji, mamlaka ya mawasiliano Tanzania
[TCRA] imebaini kuwa miziki ya video inayokiuka kanuni za utangazaji kwa
kuonyesha picha zisizozingatia maadili na ambazo zinachochea watoto kuiga
maadili mabaya.
Mfano wa
nyimbo hizo ni pamoja na ‘Zigo’ ulioimbwa na Ay akimshirikisha Diamond. Video
za miziki ya aina hii zinaudhalilisha utamaduni wetu na zinakinzana na kanuni
za huduma za utangazaji [Maudhui] [2005].
No comments: