TEAM Wema Sepetu Wacharuka..Waamua Kulipiza Kisasi Kwa Nay wa Mitego kwa Kumfanyia Hivi
Team Wema wana hasira na
Nay wa Mitego baada ya rapper huyo kumchokoza malkia wao kwenye ngoma yake
mpya ‘Shika Adabu Yako.’
Kwenye wimbo huo Nay
anarap:
Wema Sepetu una mimba
kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi,
isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari
ushakuwa bibi
Na unakoelekea utatafuta
kiki hadi kwa Fid
Mistari hiyo
hawajaipokea vizuri na sasa Team Wema wako kooni kwa Nay wa Mitego wakilipiza
kisasi. Wanazitengeneza picha za rapper huyo na kuzikiweka lipstick na
mawig/weaving kumpa muonekano wa mwanamke



No comments: