Etoo aleleza jinsi mke wake alivo msaidia kukuza kipaji chake


Samwel Etoo alisema: “Nimemfahamu mke wangu wakati nilikuwa mwanasoka mchanga
nchini Ufaransa…Klabu ya soka ya Nantes ilikataa kunisajili; Mke wangu siku zote aliniunga mkono. Nilikuwa sina chochote na mke wangu alikuwa anafanya kazi kwenye Saluni ya Nywele hapo Nantes. Leo hii yeye ni mke wa Mcheza Soka mkubwa duniani, mchezaji bora wa Afrika – na mimi (Etoo) ni mume wa mwanamke mtulivu kuliko wote duniani. Tuna zaidi ya shilingi bilioni 250 kwenye akaunti yetu…”. Kwa wasichana wa leo, "...Maisha siyo Mbio, ni Stamina."
MY TAKE
Wekeza kwa mwanaume wako myajenge maisha yenu kwa uhakika. “Vitu vyote vya thamani vimefichwa chini ya ardhi”, ili kuvipata lazima umshikilie mumeo na mvitafute, mvifanyie kazi na muwe wavumilivu sana. Na hiyo ndiyo sababu I am proud of her, Zakia Hassan - let us move on baby! This is the most blessed year and the future is so amazing!
Everybody say big "AMEN"!

No comments:

Powered by Blogger.