Sikiliza Barua Aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff Kutoka Gerezani China...
Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa
kwenye uwanja
wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la
kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia
mwandishi wa habari na Mtangazaji Millard Ayo barua ili aisome kwa Watanzania,
bonyeza play kwenye hii video hapa chini….
No comments: