Messi kafikisha magoli 301 Laliga, hii ndio video ya sehemu ya magoli yake bora …
Usiku wa
February 17 klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilishuka kucheza mechi yake ya Ligi
Kuu Hispania dhidi
ya Sporting Gijon na
kuibuka na ushindi wa goli 3-1, kwa upande wa mchezaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC BarcelonaLionel Messi amefikisha jumla ya magoli 301 katika
mechi alizocheza Laliga.
Messi amefikisha jumla ya magoli 301 baada ya
kufunga goli mbili katika mchezo wa February 17 dhidi ya Sporting Gijon, toka ameanza kucheza Laliga, Lionel Messi alijiunga na FC Barcelona C mwaka 2003 na mwaka 2004
alijiunga na timu ya wakubwa ya FC Barcelona.
Hii
ndio video ya sehemu ya magoli yake bora kati ya 301 aliyoyafunga
No comments: