Rais Magufuli kasafiri kwenda Arusha.. info nilizonazo ni hizi


President wa Jamuhuri ya muungano wa
Tanzania John Pombe Magufuli ameshafika Arusha tayari kwa ajili ya kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kwenye hii picha anaonekana akisalimiana na mbunge wa Arumeru Mshariki Joshua Nassari ambae alikua mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA).
Picha imepigwa na Ikulu.



No comments:

Powered by Blogger.