Ni Wapi Alipo Comrade Kinana? Je Magufuli Amemsahau....Namkubali Sana Jamaa Katika Makada CCM Waliopambana Kujenga Chama

Sijamsikia kwa kipindi kirefu kidogo na sio
kawaida yake, na hata zile safari za ujenzi wa chama zilizoandaliwa hivi majuzi
sizisikii tena kama wamekwenda au lah, mwenye taarifa atupatie maana alisaidia
sana "kukijenga chama" huko mikoani kiasi kwamba kura za Chama
"ziliongezeka" kwa kiasi kikubwa..Je Magufuli Kamsahau ama Vipi?
No comments: