Matokeo ya awali ya Uchaguzi mkuu
nchini Uganda
yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi(EC), yanaonyesha Rais Museveni
anaongoza kwa kupata kura 1,362,961 sawa na asilimia 61.75
-Mpinzani
wake wa karibu Kizza Besigye anafuatia kwa kupata kura 738,628 sawa na asilimia
33.47
No comments: