Tanzia: Waziri Celina Kombani afariki dunia wakati akipata matibabu nchini India

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma nchini Tanzania Celina
Kombani amefariki dunia. Waziri Kombani ambaye pia alikuwa ni mbunge wa jimbo la Ulanga mashariki, amefariki jana Septemba 24, wakati akipata matibabu nchini India. Alizaliwa Juni 19, 1959, na alikuwa mbunge kupitia chama tawala CCM.

No comments:

Powered by Blogger.