Shiyanga kimenuka vijana waandamana wamtaka Dr slaa
Picha haihusiki na habari hii
Hali isiyokuwa ya kawaida vijana wengi wafuasi wa CHADEMA
Shinyanga mjini wamechana kadi, bendera na flana za chama
hicho kwa madai kimepoteza misingi yake na mwelekeo kwa kuwapokea mafisadi Lowassa na kundi lake.
Shinyanga mjini wamechana kadi, bendera na flana za chama
hicho kwa madai kimepoteza misingi yake na mwelekeo kwa kuwapokea mafisadi Lowassa na kundi lake.
Wakiwa na hasira baada ya kuisikiliza kwa kina hotuba ya Dr Slaa jana vijana hao wameandamana na kukusanyika katika ofisi za chama hicho wakimshutumu vikali mwenyekiti wao Taifa Freeman Mbowe kwa kukiuza chama kwa Fisadi lowasa na kusababisha kuwaengua viongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Dr slaa, Mnyika na Lisu wakiwa kwenye benchi huku chama kikitwaliwa na mafisadi Lowassa, Sumaye, Masha na makapi yao.
No comments: