Tundu Lissu ajitosa sakata la madawa amshangaa Makonda kutowataja hawa



Anaandika Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu.

Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo katika awamu ya 5

Ushauri wangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda Vita ya madawa ya kulevya ikiendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete analifahamu hilo

No comments:

Powered by Blogger.