SHABIKI NAMBA MOJA YANGA MWIGILU AWAASA VIJANA WAKE HAYA MECHI YA LEO

" sina shaka juu yenu. Pambaneni kama wanajeshi vitani wanavyo pambana na adui. Kila sekunde uwanjani ipeni thamani kubwa dhumuni ni ushindi . Hata waokota mipira wakichelewa kuleta mipira uwanjani fateni wenyewe. Mungu ni mwema tutashinda mechi hii na sisi tupo nyuma yenu"
Mh. Mwigulu Nchemba.
No comments: