Mapokezi ya timu ya taifa ya Cameroon baada ya kuwasili na Kombe la AFCON 2017

Cameroon stars were swamped by football fans as they arrived at Yaounde Nsimalen Airport
Usiku wa February 5 2017 Cameroon ilicheza fainali ya AFCON 2017 dhidi ya Misri na kufanikiwa kushinda goli 2-1, magoli ya Cameroon yakifungwa na Nicolas N’koulou dakika ya 58, Vincent Aboubakar dakika ya 88 huku Mohammed Elneny akiifungia Misri goli moja na pekee dakika ya 22.
Captain Benjamin Moukandjo holds the trophy aloft as he makes his way to the team bus
Ushindi huo wa AFCON 2017 kwa Cameroon unakuwa ni ushindi wao wa tano katika historia, lakini ni ushindi uliyokuja baada ya miaka 15 toka wachukue taji hilo, baada ya ushindi Cameroon wamewasili kwao na kupokewa na mashabiki na wapenzi wa soka wakiwa na Kombe lao la AFCON
The players wore 'Cameroon 2019' T-shirts to celebrate their hosting of AFCON in 2019
Members of the Cameroon national football team sing the national anthem upon arriving home
Fans continued to chase the Cameroon team bus as it made its way towards their training basea


Tazama hapa chini Magoli yote kati ya egypt vs cameroon



No comments:

Powered by Blogger.