Waziri Nape amvaa Makonda sakata la Madawa

Baada ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda kuweka wazi majina ya baadhi ya watu wanaotuhumiwa kuuza na kutumia dawa za kulevya nchini Tanzania, leo February 5 2017 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ameongea.
Waandishi wa habari Dodoma ndio walimuuliza swali hilo Nape Nnauye kuhusu mtazamo wake na majibu yake yote yako hapa kwenye hii video hapa chini.
No comments: