HII NI NOMA HATARI JUU YA HATARI ASKOFU MOKIWA AMWAGA MBOGA AFUNGUKA MAZITO MNO JUU YA SAKATA HILI NYETI
Amesema baada ya siku saba, atawasilisha kwa waumini vitu vitakavyoeleza ukweli wa mambo kuhusu mgogoro unaondelea sasa.
Hivi karibuni, Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk Jacob Chimeledya alimtaka Mokiwa kujiuzulu kwa madai kwamba anatumia vibaya madaraka yake huku akimtuhumu pia kwa ubadhirifu wa fedha.
Hata hivyo, Askofu Mokiwa alikana madai hayo na kusema mgogoro huo unatengenezwa na adui zake jambo linawavunja mioyo waumini.
Jana, akiweka jiwe la msingi la Kanisa la Kigango cha Mtakatifu Simon na Yuda, lililopo Kimara Mavurunza ‘A’, Askofu Mokiwa alisema:

No comments: