CHADEMA SASA BASI TENA HII NDIO HATUA KALI WALIOCHUKUA ZIDI SAKATA LA MH MBOWE PAMOJA NA LISSU.


 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimesema muendelezo wa kukamatwa kwa viongozi wa chama hicho hakuwayumbishi bali kunawajenga kisiasa. Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amezungumza na waandishi wa habari  na kueleza kuwa suala hilo halitachukua muda mrefu kwenye utekelezaji."Hapa tunapoongea MwenyekitI Halmashauri ya Tarime,Misiwa ameshikiliwa na jeshi la polisi," amesema Dk Mashinji.Amesema Watanzania wanapaswa kukemea suala hilo kwa kupaza sauti zao zifike mataifa mbalimbali wafahamu ukiukwaji wa sheria.
VIDEO:Msukuma awaambia wabunge wamwachie apambane na Makonda
                                   

No comments:

Powered by Blogger.