BREAKING: Video ikimuonyesha Askofu Gwajima akitoka Polisi baada ya kuachiwa
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jioni ya leo February 11 2017 ameachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa Mahabusu toka Alhamisi baada ya kwenda kituoni hapo kufuatia kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda na sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea ilivyokua leo
No comments: