BRAKIN NEWZZ!!:- VITA YA MADAWA YA KULEVYA YAINGIA SURA MPYA KABISA SOMA YALIYOJIRI LEO LIVE!!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli amewataka Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika vita dhidi ya mtandao wa wauzaji wadawa za kulevya.

Dkt.Magufuli ameyasema hayo leo Ikulu Jijini Dar es salaam ,mara baada ya Kuwaapisha Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ. Jenerali Venance Salvatory Mabeho na Mnadhimu wa Jeshi hilo Generali James Aloyce Mwakibolwa
















VIDEO: Nape Nnauye atoa mtazamo wake kuhusu njia iliyotumika kuwataja Watuhumiwa wa dawa za kulevya

VIDEO: Wema aelezea kilichomkuta akiwa Mahabusu, tazama kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Paul Makonda akieleza kilichoendelea na kinachofatia kuhusu ishu ya dawa za kulevya, bonyeza play hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.