SALAMU ZA PONGEZI ZA RAIS DKT MAGUFULI KWA DONALD TRUMP
Muda mfupi uliopita Mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump ametangazwa kuwa Rais Mteule wa Marekani baada ya kumshinda mpinzani wake wa karibu Hillary Clinton katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Dkt Magufuli amendika “Congratulation President-Elect and people of America for a democratic election,I assure and people of Tanzania for a continued friendship.”
No comments: