HAYA NDIYO MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU GARI JIPYA LA RAIS MTEULE DONALD TRUMP,BASI YATAZAME HAPA LIVE.


Donald Trump ataingia katika ikuu ya White House mnamo mwezi January ya mwaka 2017,na katika kipindi hiki cha mpito alikutana na Rais anayeondoka madarakani Rais.

Baraka Obama kwa mazungumzo na ili iweze kuthibitika kwamba makabidhiano yalienda vizuri na kwa namna ya pekee ingawa wamarekani walijaa barabarani wakipinga kwa maelfu ushindi wa Rais Donald Trump,kufuatia matokeo ya uchaguzi kumtangaza Donald Trump kama mshindi.


Wakati huo huo gari jipya la rais aliyechaguliwa madarakani linalojulikana kama "mnyama"/the beast kutoka katika modeli ya limousine,tayari liko tayari kwa ajili ya matumizi ya rais huyo mteule.

Kwa mujibu wa Dailymail,kuna baadhi ya baadhi ya picha za mifumo mipya ambayo imevuja ikielezea mabadiliko na maendeleo makubwa katika kutengenezwa kwa gari hilo,ambalo litatolewa rasmi siku ya kuapishwa kwa rais huyo wa Marekani mnamo mwakani Januari 2017,kwa sasa lipo linafanyiwa majaribio makubwa sana ya kiintelijensia.

1.VIPENGELE VYA MSINGI.
Gari hilo litakuwa na bodi ya Cadillac,liloingizwa ndani ya flame nyingine tena,zaidi ya muundo wa ile gari ya kwanza aliyokuwa anatumia rais Obama,lililosheheni mifumo mbalimbali ya ulinzi kuilinda familia mpya ya Rais mteule Donald Trump vitu kama vizuizi vya risasi.

Watati huo huo data za gari la rais wa Marekani ni siri kubwa  sana,lakini picha za gari lenyewe kwa mujibu wa wachunguzi wa magari wanaweza kuelezea hata kiasi kidogo namna gari lenyewe lilivyo.


2.MUONEKANO WAKE.
Gari jipya litapakwa langi nyeusi ikichanganywa na rangi ya fedha kama tu lilivyokuwa gari la Obama,lakini gari hilo jipya litafunikwa na rangi inayoweza kubadilika badilika kulingana na mazingira ili kuweza kuficha muundo mpya lililo nalo.

3.MILANGO YAKE.
Milango yake inaunene wa inchi nane,na ina uzito sawasawa na ndege ya Boing 747,na inaziba kwa kiasi kikubwa sana shambulio lolote la kibaiyolojia na kikemikali.



4.MAGARI YA MSAFARA.
Imeripotiwa kuwa ikulu ya Marekani ina Magari 12,ya msafara wa Rais ambayo yanafana sana na gari la Rais,amabayo huwa yanazunguka dunia nzima na Rais kumlinda popote atakapo kwenda,na kila gari huwa lina gharama za dola milioni 1.5 za marekani ambazo ni zaidi ya bilioni 3 za kitanzania,kwa gari moja.

5.OXYGEN.
Ndani kuna kifaa maalumu cha kutoa hewa safi ya oxygen kama hewa ya nje itagundulika kuwa ina sumu ya aina yoyote inayeweza kumdhuru Rais.

6.MADIRISHA.
Madirisha ya Gari ya Rais yamefungwa kabisa na hayawezi kufunguiwa au kushushwa isipokuwa dirisha la dreva ambalo linaweza kufunguliwa kwa ajili ya kulipa ushuru tu,na madirisha hayo yanaweza kukinga dhidi ya risasi yoyote na mlipuko wowote.

7.MATAIRI.
Matairi yake yamelindwa na utando unaoitwa Kevlar,kuzuia na kulinda dhidi ya kupasuka,na hata kama ikitokea ringi la ndani litakalobaki baadya ya kupasuka kwa tairi linauwezo wa kuendelea kusapoti gari hilo bila matatizo yoyote.

8.TANKI LA MAFUTA.
Tanki la mafuta limefunikwa na madini maalumu linalowezesha kukinga na vyanzo vyovyote vya joto hata kama ukiwasha moto tanki la mafuta halitaweza kulipuka na kusababisha moto.

9.MAWASILIANO NA KAMERA.
Gari hilo limefungwa na kamera za aina zote za usiku na mchana,mifumo ya GPS pamoja na mawasiliano ya satellite kuwezesha mawasiliano kwa rais yasikatike kabisa.Na kuweza kuendeshwa kwa hali yoyote ile.

10.TIBA YA DHALULA.
Kuna matibabu ya dharula katika gari hilo ikitokea kama rais atakuwa katika hali ya kutaka au kuhitaji matibabu ,humo humo kuna sehemu ya kupima aina ya damu kama rais atahitaji kuongezewa damu.

11.VIFAA VYA KUPAMBANA NA MOTO.
Ndani ya gari kuna vifaa vya kupambana na moto wa aina yoyote ile,kuna bunduki,na kuna vifaa vya 

No comments:

Powered by Blogger.