HABARI YA KUSIKITISHA KUTOKA BUNGENI DODOMA MBUNGE MAARUFU AFARIKI DUNIA

Image result for bunge la jamhuri ya muungano wa tanzaniascreen-shot-2016-11-11-at-8-08-27-am
Ni habari zinazotoka Dodoma asubuhi hii ya November 11 2016 zikihusu kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir wa Jimbo la Dimani ‘CCM’ Zanzibar, ni kifo kilichotokea alfajiri ya leo katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma.

No comments:

Powered by Blogger.