BREAKING NEWS::NABII TB JOSHUA ATABIRI ATAKAYESHINDA UCHAGUZI WA KESHO NCHINI MAREKANI.

–Watu wengi duniani wakiwemo marais wana amini sana unabii ambao huwa unatolewa na nabii maarufu sana wa kimataifa TB Joshua

–Nabii huyo ambaye kanisa lake makao makuu yako katika mji wa lagos,nani kati ya wagombea urais Donald Trump na mwenzake Hilary Clinton atashinda uchaguzi nchini Marekani ingawa matokeo rasmi ya uchaguzi nchini Marekani bado hayajatangazwa bado.

Uchaguzi wenyewe uko kati ya wagombea Hilary Clinton na Mwenzake Donald Trump na video ya Nabii TB Joshua imejitiokeza haraka mara baada ya tukio la uchaguzi wa marekani kuelekea kufanyika hapo kesho.



Kama hivyo ndiyo utabiri kamili na wa kweli kabisa basi Hilary ni mrithi wa rais aliyeko madarakani kwa sasa Barack Obama,ambaye ataondoka madarakani kwa misimu miwili akiwa raisi wa marekani.


Alitoa utabiri wake katika ukurasa wake wa facebook wa kanisa lake.

Unabii wake unasema kuwa..

"Ten days ago, I saw the new president of America with a narrow win. The new Ppesident will be facing several challenges over many issues, including: passing bills, attempts to possibly pass a vote of no confidence on the new president. The boat of the new president will be rocked."
Kwa kuhitimisha utabiri wake Nabii TB Joshua anasema kuwa katika maono yake amemuona mrithi wa Barack Obama ambaye atakuja kuwa ni mwanamke,basi tusubiri tuone yatakayojiri rasmi kabisa 

No comments:

Powered by Blogger.