BREAKIN NEWZZ!!: SHIRIKA LA DEGE LA AIR TANZANIA LATANGAZA NAULI ZAKE NI SAWA NA BURE ONA HAPA LIVE



Baada ya Rais John Pombe Magufuli kuzindua ndege mbili mpya zitakazotumiwa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) mwezi uliopita, shirika hilo limeatangaza rasmi maeneo ya safari za ndege hizo ikiwa na pamoja na nauli.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa shirika hilo waliandika kuwa nauli ya safari ya ndege kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni shilingi laki moja na sitini (160,000) ambapo nauli ya kutoka Dar es Salaam hadi Arusha ni bei hiyo hiyo, laki moja na sitini (160,000).

Aidha, shirika limatehadharisha kuwa nauli hizo ni za kwenda tu, na si kwenda na kurudi. Pia wameeleza kuwa nauli za safari kwenye mikoa mingine badi hazijapangwa ila ndio wapo kwenye mchakato.

No comments:

Powered by Blogger.